library.witness.org
Jinsi ya Kuweka Kumbukumbu Wakati Mtandao Umezimwa Jinsi - Library
Kuweka kumbukumbu za ukiukwaji wa haki za binadamu ni muhimu kama ilivyo kawaida hata wakati mtandao umezimwa. Hata kama taarifa hazita sambazwa muda huo, kuchukua kumbukumbu kutakuwa njia ya kuhifadhi zile sauti ambazo mamlaka zinataka kunyamazisha, na kuweka ushahidi wa dhuluma ambazo zitakuja kutumika kama kidhibiti baadaye katika kuwawajibisha. Hata hivyo, ukandamizwaji na vikwazo vya […]