library.witness.org
Kudumisha Taarifa Zinazo weza Kuthibitika Wakati Mtandao Umezimwa - Library
Watetezi wa haki za binadamu, wapelelezi, watafiti, na wanahabari mara nyingi hutegemea nyaraka za mwanzo ambazo zilinaswa na mashahidi kufuatilia, kuripoti, na kuongolelea ukiukwaji wa haki za binadamu. Ili kuhakikisha kwamba wanafanyia kazi taarifa sahihi, watumiaji huchukua hatua ya kutafuta uhalali na kuthibitisha nyaraka wanazo pokea, mchakato ambao unaweza kuwa na machungu na hutumia muda […]