library.witness.org
Kusambaziana Faili na Kuwasiliana Wakati Mtandao Umezimwa - Library
Uzimaji mtandao unalenga kuwazuia watu kusambaziana taarifa na kuwasiliana (na pia kulazimisha watu kuwa katika hali ya mawasiliano yasiyo salama sana kama vile simu za mkononi na meseji, ambavyo ni rahisi kwa mamlaka kuingilia na kufuatilia). Kamwe hakuna mbinu nzuri za kutafuta suluhu wakati mtandao umezimwa kabisa. Hatuna njia ya uhakika kabisa ya kuweza kukwepa […]