Kuweka Chelezo Taarifa Zilizo Kwenye Simu Bila Kuwa na Mtandao au Kompyuta
Kuweka chelezo ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa data na nyaraka hazifutwi kwa bahati mbaya, kuharibika, au kupotea iwapo simu yako imetaifishwa. Wakati mtandao umezimwa au umezuiliwa kwa kiasi, huenda usiweze kuendelea kuweka chelezo mawinguni au kutuma nyaraka zako katika eneo la mbali na ulipo.Kuweka katika kompyuta ya mezani au kompyuta mpakato ni njia mojawapo ya kuweka chelezo, lakini kwa vile watu mara nyingi hawana njia ya kupata kompyuta, hapa kuna baadhi ya njia na vidokezo vya kuweka chelezo ya taarifa kutoka kwenye simu yako wakati wa mtandao umezimwa na hauna kompyuta.
Collection(s) | All resources |
---|---|
Region/Country | Africa |
Topic(s) | Internet Shutdowns, Mobile Phones, Safety & Security Planning, Transferring Files |
Type | Tipsheet |
Language | Kiswahili |