All Library resources are free to download, use and remix (learn more)

Kudumisha Taarifa Zinazo weza Kuthibitika Wakati Mtandao Umezimwa

Watetezi wa haki za binadamu, wapelelezi, watafiti, na wanahabari   mara nyingi hutegemea nyaraka za mwanzo ambazo zilinaswa na mashahidi kufuatilia, kuripoti, na kuongolelea ukiukwaji wa haki za binadamu. Ili kuhakikisha kwamba wanafanyia kazi taarifa sahihi, watumiaji huchukua hatua ya kutafuta uhalali na kuthibitisha nyaraka wanazo pokea, mchakato ambao unaweza kuwa na machungu na hutumia muda mwingi.

Kama mchukua nyaraka, kuna vitu virahisi unaweza kufanya ili kurahisishia wengine kazi ya kuthibitisha na kuhakiki nyaraka, ili iweze kutumika kwa wakati na kwa ufanisi.